Utafsiri hadi kwa Kiingereza
Adelphi Translations Ltd. (Kampuni ya Utafsiri ya Adelphi) inahusika sana katika utafsiri wa Kiingereza kutoka lugha kadhaa muhimu duniani
kwa wateja wakubwa wa mataifa mbalimbali. Baadhi ya miradi yetu mipya ya ‘Kiingereza’ inajumuisha:
- Ujerumani hadi kwa Kiingereza: zaidi ya maneno nusu milioni ya benki inayoongoza Ujerumani
- Kihispania hadi kwa Kiingereza kwa Mashirika ya Makazi ya Uingereza
- Lugha za jamii ya Uingereza hadi kwa Kiingereza (Kiurdu hadi kwa Kiingereza, Kihindi hadi kwa Kiingereza na Kibengali hadi kwa Kiingereza) kwa nyenzo za kisheria
- Kifarsi hadi kwa Kiingereza, Kiurdi Sorani hadi kwa Kiingereza, Kiarabu na Kisomali hadi kwa Kiingereza kwa Mashirika ya Wakimbizi ya Uingereza
- Kichina hadi kwa Kiingereza, Kiurusi hadi kwa Kiingereza, Kikorea hadi kwa Kiingereza na Kijapani hadi kwa Kiingereza kwa kampuni za utengenezaji
Adelphi ni mojawapo ya watoa huduma wanaopendelewa na Baraza la Matibabu ya Ujumla (General Medical Council)
na inatoa mamia ya vyeti vilivyothibitishwa kila mwaka hadi kwa Kiingereza kutoka kwa zaidi ya lugha hamsini.